Monday 6th May 2024
logo

WATENDAJI WA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR WAKIFANYA UKAGUZI KATIKA VITUO VYA UTANGAZAJI

Timu ya wakaguzi kutoka Tume ya Utangazaji Zanzibar ikiwa katika kituo cha ZBC RADIO kilichopo BUNGI

MUONEKANO wa baadhi ya studio za kituo cha ZBC REDIO katika ofisi zao zilizopo Bungi ,Mkoa wa kusini Zanzibar ,baada ya wakaguzi kutoka Tume ya Utangazaji Zanzibar kufanya ukaguzi wa kawaida kwa vituo vya utangazaji Unguja..

Other Top Story