Monday 6th May 2024
logo

WATENDAJI WA TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR WAKIFANYA UKAGUZI KATIKA VITUO VYA UTANGAZAJI.

Timu ya wakaguzi kutoka Tume ya Utangazaji Zanzibar ikiwa katika kituo cha BOMBA FM REDIO kilichopo Mbweni.

MUONEKANO wa baadhi ya studio za kituo cha BOMBA FM REDIO katika ofisi zao zilizopo mbweni ,nje kidogo ya mji wa Zanzibar ,baada ya wakaguzi kutoka Tume ya Utangazaji Zanzibar kufanya ukaguzi wa kawaida kwa vituo vya utangazaji Unguja..

Other Top Story