Monday 6th May 2024
logo

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE AHIMIZA USAJILI MAUDHUI YA MTANDAONI.

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale, Bi Khadija Bakari akikabidhi Leseni ya Maudhui ya Mtandaoni Afisa Mahusiano wa Wakala wa Upigaji Chapa Zanzibar wa Serikali (ZAGPA), Ndugu Said Seif Said katika hafla fupi iliyofanyika Tume ya Utangazaji Zanzibar.

TAASISI za Serikali zinazoweka maudhui ya mtandaoni zimeshauriwa kufuata taratibu za kisheria kwa kujisajili Tume ya Utangazaji Zanzibar.
Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale (WHUMK), Bi Khadija Bakari wakati akikabidhi leseni ya maudhui ya Mtandaoni kwa Wakala wa.

Other Top Story