Jumla ya FM Redio 30, TV 12 na Cable TV 12 zimesajiliwa Serikalini kupitia Tume Ya Utangazaji Zanzibar. Ametoa taarifa hiyo Waziri wa Habari Vijana Utamadani na Michezo Mh. Tabia Mulid Mwita wakati akihutubia taarifa malum ya Miaka Minne ya DCT. Hussin Mwinyi aliyoitoa siku ya tarehe 18/11/2024 katika Ukumbia wa ZBC Mnazi Mmoja Zanzibar.